Friday, 6 February 2015

                                              HABARI MDA MFUPI ULIOPITA                                                                                                           

Nigeria:Ratiba ya Uchaguzi ni ileile

 

Nigeria imesema itafanya uchaguzi wa Urais jumamosi ijayo kama ilivyopangwa.Uamuzi huo umekuja baada ya mkutano uliofanyika kwa saa saba mjini Abuja kati ya Wagombea, Magavana wa Majimbo na Tume ya uchaguzi.  

SOMA ZAIDI HAPA

 

Afrika ibuni ushirikiano wa Ulinzi  Wajumbe katika mkutano maalumu wa Usalama wa Bara la Afrika wametoa wito kufanywe mabadiliko katika majeshi yote Barani. Maafisa katika mkutano huo walisema kuwa mbinu mpya zinapaswa kutumika ikiwa majeshi katika Bara la Afrika watakuwa na matumaini yo yote ya kukabiliana na vitisho vya Waislamu wenye itikadi kali na uhalifu wa kimataifa   

SOMA ZAIDI HAPA